Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki) | Media Center | DW | 17.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Rais wa Marekani Donald Trump asema hataki vita na Iran baada ya shambulizi kufanywa Saudi Arabia//Mkutano wa kilele kuhusu Syria huko Ankara, waisha bila matokeo yoyote//Na mpasuko wajitokeza katika upinzani Venezuela kutokana na mazungumzo na serikali.

Sikiliza sauti 08:00