Viongozi wa Republican Marekani waamini Mohammed Bin Salman alihusika katika mauaji ya mwandishi habari Jama Khashoggi//Wahamiaji 15 wafariki dunia na wengine kumi kunusurika kifo katika pwani ya Libya//Jeshi la Israel laharibu handaki la kundi la kigaidi la Hezbollah katika mpaka wake na Lebanon.