1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

19 Oktoba 2018

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May atafakari kuongeza muda wa mpito wa Brexit kwa miezi kadhaa//Rais wa Marekani Rais Donald Trump asema huenda ikawa Jamal Khashoggi amefariki//Kura mpya ya maoni yaonyesha uungwaji mkono wa serikali ya muungano ya Ujerumani wapungua

https://p.dw.com/p/36nuo