1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

18 Oktoba 2018

Hotuba ya Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May mjini Brussels haikuzingatia mapendekezo ya Baraza la Umoja wa Ulaya kuhusu Brexit//Marekani yakanusha madai ya kuisaidia Saudi Arabia katika kuficha kifo cha mwandishi wa habari Jamal Khashoggi//Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria Staffan de Mistura kujiuzulu mwishoni mwa Novemba

https://p.dw.com/p/36jXk