1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari: Asubuhi. 16.09.2022

Zainab Aziz
16 Septemba 2022

Ujerumani yasema itapeleka silaha mpya nchini Ukraine. Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza kuzikwa Jumatatu tarehe 19.09.2022. Taliban yaituhumu Marekani kwa kunyakua mali za Afghanistan.

https://p.dw.com/p/4Gwwv