1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari 28.12.2020

V2 / S12S28 Desemba 2020

Rais Donald Trump hatimaye ametia saini muswada wa misaada ya janga la virusi vya corona. Maambukizi ya COVID-19 nchini Afrika Kusini yapindukia milioni moja. Kimbunga Bella chatikisa baadhi ya maeneo ya Ufaransa na Uingereza.

https://p.dw.com/p/3nGgO