1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za Ujerumani kwenye kanda ya Sahel

Harrison Mwilima/MMT28 Mei 2021

Makala ya Sura ya Ujerumani leo inaangazia uamuzi wa Bunge la Ujerumani wa kuendeleza operesheni za kijeshi nchini Mali moja kati ya nchi tano za Afrika zinazounda kanda ya Sahel inayokabiliwa na changamoto mbalimbali za kiusalama. Mtayarishaji ni Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/3u74f