Siku ya uhuru Afghanistan yagubikwa na majonzi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 19.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Siku ya uhuru Afghanistan yagubikwa na majonzi

Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ameapa kuyafyeka mafichio yote ya kundi lijiitalo Dola la Kiislamu, IS, baada ya mashambulizi yanayodaiwa kufanywa na kundi hilo katika wakati ambapo taifa hilo likiadhimisha miaka 100 ya uhuru wake

Tazama vidio 01:12