Siku ya Maji duniani - hali visiwani Zanzibar | Masuala ya Jamii | DW | 22.03.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Siku ya Maji duniani - hali visiwani Zanzibar

Leo ni siku ya maji duniani, kauli mbiu ya Umoja wa Mataifa ni kupunguza idadi ya watoto wanaokufa kutokana na magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa maji, na idadi ya watu wasiopata maji ambao ni takribani bilioni 2.5.

Tatizo la maji safi lipo duniani kote.

Tatizo la maji safi lipo duniani kote.

Huko Zanzibar, kuna tatizo litokanalo na hali ya kuenea kwa maji chumvi, katika maeneo ambayo hapo nyuma yalikuwa na maji safi, na hilo linatatiza upatikanaji wa maji katika kisiwa hicho. Muda mfupi uliopita Daniel Gakuba amezungumza na mtaalamu wa mazingira huko Zanzibar, Hamza Zubeir, na kwanza alimuuliza kuhusu ukubwa wa tatizo hilo. Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri:Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com