Siku ya Kimataifa ya Wakimbizi
20 Juni 2013Matangazo
Mamilioni ya watu wanahitaji msaada kwa kuwa wakimbizi katika nchi zao wenyewe. Na leo tunaangazia hali ya wakimbizi ilivyo nchini Congo. Dalila Athman amezungumza na msemaji wa shirika la umoja wa mataifa linalohusika na masuala ya wakimbizi nchini Congo Gloria Ramadhani na kwanza alimuuliza hadi sasa hali ya wakimbizi nchini humo ipo vipi?n Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini
Mwandishi: Dalila Athman
Mhariri: Mohamed Abdulrahman