Siku ya Kimataifa ya kupambana na ufisadi dunianiMohammed Khelef 09.12.20159 Desemba 2015Siku ya Kimataifa ya kupambana na ufisadi duniani, tunaiangalia Kenya ambapo jamii ya Kenya imeathirika na ufisadi katika wakati ambapo Rais Uhuru Kenyatta ilimbidi kutangaza ufisadi ni kitisho kwa usalama wa taifa.https://p.dw.com/p/1HJiSPicha: DW/M.KhelefMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio