Sikiliza Kipindi cha DW Michezo Jumatatu 20.04.2019 | Michezo | DW | 29.04.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Sikiliza Kipindi cha DW Michezo Jumatatu 20.04.2019

Ubingwa wa ligi ya Ujerumani Bundesliga bado ni kitendawili huku zikiwa zimesalia mechi tatu tu ligi hiyo kufikia mwisho, nchini England mechi zimesalia mbili kwa kila timu msimu kuisha ila huko nako Manchester City na Liverpool hakuna anayetaka kusalimu amri na katika riadha, Eliud Kipchoge aipeperusha bendera ya Kenya na Afrika kwa ujumla huko London

Sikiliza sauti 09:50