Shindano la Olimpik 2012
6 Juni 2012Matangazo
DW ina zawadi kemkem za kushindaniwa. Unachohitaji kufanya ni kujibu swali hili:
Je ni mji upi utakaokuwa mwenyeji wa mashindano ya Olimpik mwaka huu?
Ni Berlin, London au New York?
Tuma jibu lako sahihi kupitia anuani zifuatazo:
S.L.P. 53110 Bonn, Germany
S.L.P. 70087 Dar es Salaam, Tanzania
S.L.P. 1327, Kigali, Rwanda
S.L.P 7016, Kampala ,Uganda
Au tuma Barua Pepe: Kiswahili@dw.de
Simu, Redio, I-Pod, Mipira, Flana na zawadi nyingine chunguzima zinakusubiri.
NAFASI NI YAKO !!!!!!!!