Shindano la Bahati Nasibu | Redio | DW | 09.02.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Redio

Shindano la Bahati Nasibu

Wakati wanariadha wakijizolea medali katika mashindano ya Olimpiki huko London mwaka huu, nawe pia una fursa ya kujizolea zawadi murua kutoka DW kwa kushiriki shindano hili la bahati nasibu.

iPod

iPod

Ni rahisi kushiriki, tuambie ni nani bingwa wa rekodi ya ulimwengu katika mbio za mita 100 kwa wanaume?

Je, ni Tyson Gay, David Rudisha au Yusen Bold?


Tuma jibu lako sahihi kwa anuani zifuatazo:
S.L.P 53110 Bonn, Germany
S.L.P.70087, Daressalaam,Tanzania
S.L.P. 1327, Kigali, Rwanda
S.L.P.7016 Kampala ,Uganda
Barua Pepe: kiswahili@dw-world.de

Tunazo redio, iPod, T-Shirt, kofia na zawadi nyingine nyingi
Changamsha bongo pia nawe uwe mshindi!!

.