1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria inasemaje kuhusu raia waliopo katika uwanja wa vita?

Rashid Chilumba4 Aprili 2022

Tuhuma kuwa Urusi imewalenga na kuwaua raia kwenye mji wa Bucha zimezusha lawama kubwa za kimataifa licha ya Moscow kukanusha madai hayo. Lakini je sheria ya kimataifa inasemaje linapohusiaka suala la raia katika uwanja wa vita? Rashid Chilumba amemuuliza mtaalamu wa medani ya vita na mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Tanzania, Hamduni Marcel.

https://p.dw.com/p/49QRG