Serikali ya Umoja wa Kitaifa haitaanguka Z′bar - Mansour | Matukio ya Afrika | DW | 23.07.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Serikali ya Umoja wa Kitaifa haitaanguka Z'bar - Mansour

Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na mmoja wa watu wanaounda Kamati ya Maridhiano, Mansour Yussuf Himidi, amesema licha ya changamoto zilizopo, Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar haitavunjika.

Viongozi wa juu wa serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, Rais Ali Mohammed Shein (kulia) na Makamu wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad.

Viongozi wa juu wa serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, Rais Ali Mohammed Shein (kulia) na Makamu wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad.

Kusikiliza mahojiano kamili, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Kinagaubaga
Mahojiano: Mohammed Khelef/Mansour Himidi
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada