Serikali ya DRC kuwa na mazungumzo na waasi wa M23 | Matukio ya Afrika | DW | 06.12.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Serikali ya DRC kuwa na mazungumzo na waasi wa M23

Wajumbe wa Serikali ya DRC wanasemekana kuwa wameshawasili Kampala, Uganda, kwa mazungumzo na waasi wa M23 yanayotarajiwa kuanza hivi leo 06.12.2012 ikiwa ni katika juhudi za kuutafutia ufumbuzi mgogoro baina yao.

Waasi wa M23 kufanya mazungumzo na serikali ya DRC.

Waasi wa M23 kufanya mazungumzo na serikali ya DRC.

Sylvia Mwehozi amezungumza na kiongozi wa tawi la kisiasa la M23, Jean-Marie Runiga ambaye anatarajiwa kuongoza upande wa waasi kwenye mazungumzo hayo.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sylvia Mwehozi

Mhariri: Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada