Sema Uvume: M-Kapu App ya nchini Kenya | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 26.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Sema Uvume: M-Kapu App ya nchini Kenya

Makala ya Sema Uvume hii leo, inaiangazia App ya simu inayoitwa M-kapu, inayowarahisishia watu nchini Kenya kununua vyakula mbali mbali mahali popote walipo bila ya kufika kwenye migahawa ya kuuzia vyakula.

Sikiliza sauti 09:47