1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Jinsi ya kutambua taarifa za uongo mitandaoni

Yusra Buwayhid
21 Mei 2019

Miongoni mwa changamoto kubwa za vyombo vya habari vya mitandaoni ni taarifa za uongo, ambazo si rahisi kuzijuwa kuwa si za kweli hadi pale athari yake mbaya inapokuwa imeshaenea, lakini nchini Ujerumani kunaundwa sasa programu ambayo inaweza kuzitambua taarifa hizo kwa asilimia 98 na yumkini kupata jawabu kwa changamoto hii.

https://p.dw.com/p/3Ioek