1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Jifunze teknolojia ya kutambuwa alama za uso

Sylvia Mwehozi
17 Oktoba 2023

Kwenye Sema Uvume wiki hii, Sylvia Mwehozi anakupitisha kwenye teknolojia inayotumika sasa na vyombo vya mawasiliano na usalama kutambuwa alama za uso wako na kuzitumia alama hizo ama kwa manufaa au hasara yako.

https://p.dw.com/p/4Xeou