1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Seleka wataka wanajeshi wa Kigeni waondoke mara moja nchini

1 Aprili 2013

Serikali ya Uganda imesisitiza kuwa majeshi yake yatabakia kwenye Jamhuri ya Afrika ya Kati licha ya kutolewa onyo la serikali ya sasa inayoongozwa na waasi wa Seleka kuwa waondoke nchini mwao.

https://p.dw.com/p/187eV
Waasi wa Seleka mjini Bangui, Afrika ya Kati
Waasi wa Seleka mjini Bangui, Afrika ya KatiPicha: Reuters

Uganda inasema wanajeshi wake watabakia humo ili waendelee kuwasaka waasi wa Lords Resistance Army na kiongozi wa waasi hao, Joseph Kony. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi