Sarah Obama amsubiri mjukuu wake Barack | Matukio ya Afrika | DW | 20.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Sarah Obama amsubiri mjukuu wake Barack

Bibi yake rais wa Marekani Barack Obama, Sarah Obama, aiambia DW kwamba anamngojea rais Barack Obama kwa hamu. Bibi huyo atampikia Obama vyakula kadhaa vya kitamaduni atakapofika nchini Kenya.

Geoffrey Mung'ou amezungumza na bibi yake Barack Obama, Sarah Obama, kufahamu namna anavyojiandaa kwa ujio wa mjukuu wake.

Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Sauti na Vidio Kuhusu Mada