1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sao Tome: Dhamira ya MARAPA kuhakikisha uvuvi endelevu

28 Julai 2016

Ili kuboresha hali ya maisha ya jamii za wavuvi nchini Sao Tome, MARAPA imekuwa ikitoa mafunzo ya uvuvi wa uwajibikaji kwa wavuvi na mbinu za uhifadhi wa ushirika wa wanawake.

https://p.dw.com/p/1JXHT