Sanaa ya uchoraji wa michoro ya Grafitti | Media Center | DW | 26.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Sanaa ya uchoraji wa michoro ya Grafitti

Katika utamaduni na sanaa tunatuwama kuangalia sanaa ya uchoraji wa michoro ya Grafiti kwenye mitaa ya Nairobi huko Kenya. Graffiti ni aina ya michoro iliyopata nafasi kubwa kiasi chake katika jamii nchini Kenya ikichorwa hasa kwenye majengo ya mitaa mbali mbali katika jiji la Nairobi hadi kwenye magari na matayarishaji ni Saumu Mwasimba karibu.

Sikiliza sauti 09:41