1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sakata la uhamisho wa Mbwana Samatta gumzo

Sylvia Mwehozi25 Septemba 2020

Sakata la uhamisho wa Mbwana Samatta, mzunguko wa pili wa ligi ya kandanda ya Bundesliga yote haya yanagusiwa na Bruce Amani kutoka dawati la michezo na Sylvia Mwehozi, katika mazungumzo yafuatayo. Je ligi ya Bundesliga imeanza kuchangamka?

https://p.dw.com/p/3j0zz