1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Roboti wawahudumia wagonjwa wa corona

6 Mei 2020

Ushawai kusikia kuhusu roboti wanaowahudumia wagonjwa wenye virusi vya corona na je, kama wewe ni mpenzi wa kandanda unajua kuna App inayoweza kukufanya ujihisi kana kwamba uko uwanjani kabisa kunakoendelea mechi ya kandanda? Sikiliza makala haya ya Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/3brK9