Robot Sofia kutoa huduma katika sekta ya afya | Media Center | DW | 29.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Robot Sofia kutoa huduma katika sekta ya afya

Robot Sophia asema yuko tayari kuanza kutowa huduma za kusaidia katika sekta ya afya ili kumlinda binadamu kutokana na janga la virusi vya Corona.Kampuni iliyomtengeneza Roboti Sophia yasema ndani ya mwaka huu inatengeneza Robot wengine wengi kusaidia katika sekta ya afya kutokana na janga la virusi vya Corona. Je upo tayari kuhudumiwa na Robot? Jiunge na Saumu Mwasimba katika kipindi cha Karibuni

Sikiliza sauti 29:59