1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Refa mwanamke wa soka kutoka Ghana

21 Januari 2022

Kitaaluma yeye ni fundi wa vifaa vya maabara. Lakini yeye pia ni refa wa soka kutokana na mapenzi yake. Tangu zamani Audrey Atampugbire alipenda kuwa uwanjani licha ya kuwa ni jambo la nadra kuwaona wanawake refa uwanjani Ghana. Audrey anafanya juu chini kuondoa ghana kwamba soka ni mchezo wa wanaume na tayari wasichana wengine wameanza kufuata nyayo zake. #VijanaMubashara #77Asilimia

https://p.dw.com/p/45tfx