1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Real Madrid: wafuzu michuano ya mabingwa Ulaya

Lillian Mtono5 Mei 2022

Mabingwa wa kihistoria kwenye michuano ya mabingwa barani Ulaya Real Madrid wamefuzu fainali ya michuano hiyo baada ya kuwaengua Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5. Madrid sasa wanajiandaa kuvaana na Liverpool katika fainali itakayopigwa mwishoni mwa mwezi huu mjini Paris. Lilian Mtono amezungumza na mwanamichezo wetu Bruce Amani

https://p.dw.com/p/4Arfo