1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idris Deby Itno azikwa

Saumu Mwasimba
23 Aprili 2021

Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii Afrika ni kuuwawa rais wa Chad Idris Deby Itno na uangozi wa baraza la mpito la kijeshi kukabidhiwa mwanawe,huku wapinzani na waasi wakikitaja kitendo hicho kuwa mapinduzi. Huko Tanzania rais Samia Suluhu avinyooshea kile kinachoonekana kuwa mkono wa kheri vyama vya kisiasa nchini humo. Na wanajeshi wa Kenya kupelekwa kulinda usalama DRC.Jiunge na Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/3sUjZ