Rais Mwai Kibaki alalamikiwa
20 Februari 2013
Matangazo
Kutoka Kenya Sudi Mnette amezungumza na Anthony Mukaya ambae ni afisa tawala katika shirika linalojumuisha asasi za kiaraia zinazojihusha na masuala ya ardhi-National Land Alliance. kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Josephat Charo