Rais Kabila afanya mazungumzo na makamanda wa Jeshi Mashariki mwa Kongo | Matukio ya Afrika | DW | 11.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Rais Kabila afanya mazungumzo na makamanda wa Jeshi Mashariki mwa Kongo

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, amefanya mazungumzo na makamanda wa jeshi katika mji wa mashariki wa Goma.

Mji wa Goma,mashariki wa Kongo

Mji wa Goma,mashariki wa Kongo

Mazungumzo hayo yanafuatia uasi uliojitokeza jeshini mwishoni mwa juma lililopita. Wakati huo huo, rais wa Kongo waliokimbilia Uganda baada ya kuripuka kwa mapigano wameanza kurejea nyumbani. Mwandishi wetu John Kanyunyu anayo taarifa zaidi kutoka Goma.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada