Raila Odinga kuungwa mkono na chama cha KANU katika uchaguzi ujao | Matukio ya Afrika | DW | 14.09.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Raila Odinga kuungwa mkono na chama cha KANU katika uchaguzi ujao

Chama cha siasa kilicholikomboa taifa la Kenya na ambacho nuru yake ya kisiasa hivi sasa imefifia kimetangaza kumuunga mkono mwenyekiti wa ODM Raila Odinga katika uchaguzi ujao.

Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga

Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga

Jambo hilo limezusha mjadala katika siasa za taifa hilo na hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.

Kutoka Nairobi Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za taifa hilo, Prof. Macharia mhadhiri wa chuo kikuu cha kimataifa cha kimarekani nchini Kenya na kwanza alimuuliza kauli ya mwenyekiti wa KANU, Gideon Moi ina lengo gani?

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini).

Mwandishi: 'Sudi Mnette

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada