1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya iko kwenye mhemko wa kisiasa

Saumu Mwasimba
17 Machi 2023

Yaliyomo katika Afrika wiki hii:Nchini Kenya kiongozi wa upinzani wa kambi ya Azimio Raila Odinga aitisha maandamano Jumatatu nchi nzima kuupinga utawala wa rais Ruto na ugumu wa maisha.Nchini Kongo mapigano yaendelea kuripotiwa mashariki mwa nchi na kimbunga Freddy chazitetemesha Malawi,msumbiji na Madagascar hali ni mbaya zaidi Malawi. Ungana na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4Oqdx