1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkate wenye tobo waitia kampuni mashakani

Saumu Mwasimba
28 Mei 2021

Saada Nassor msanii wa Taarabu aliyeunda bendi yake pamoja na wenzake wawili kuwakata kiu wapenda muziki mzuri wa taarabu na katika karibuni utamsikia akisimulia mengi juu ya safari yake ya muziki kutoka Zanzibar pamoja na panda shuka za kadhia zilizowahi kumfika kama msanii. Nahodha wa Karibuni ni Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3u8IC