1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raha ya weekend ni kupata burudani la uhakika na kipindi cha karibuni ndio maskani

Sudi Mnette18 Juni 2021

Leo msikilikizaji tunaangazia madhila ya sanaa, na hasa muziki na siasa. Na miongoni mwa mifano ya hivi karibuni ni shinikizo la wanaharakati wa Tanzania, kutaka kuondolewa katika tuzo za BET kwa Msanii wa Kizazi kipya wa Tanzania Nasib Abdul, maarufu kama Diamond. Lakini pia katika safu ya shairi utasikia shairi la kumuenzi mshairi maarufu wa Zanzibar Mzee Haji Gora.

https://p.dw.com/p/3vAg7