Wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu nchini Marekani, Sara Weschler na Niwaeli Kimambo, wameitafsiri tamthilia 'Amezidi' iliyoandikwa na Dk. Said Ahmed Mohamed kwa lugha ya Kiswahili na kuiandika kwa Kiingereza.
https://p.dw.com/p/1BXpO
Matangazo
Mohammed Khelef anazungumza na Sara na Niwaeli juu ya tafsiri yao na kilichowasukuma kuifasiri kazi hiyo kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza.