1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

'Printer' inavyoweza kuchapisha kifaa chenye pembe tatu

Yusra Abdallah Buwayhid27 Februari 2019

Katika kipindi cha Sema Uvume utasikia jinsi mashine ya kuchapisha yaani 'printer' inavyoweza kuchapisha kifaa chenye muonekano wa pembe tatu kwa mfano viungo vya mwili vya bandia. Na vipi mfumo wa kompyuta wenye uwezo wa kufanya maamuzi kama akili ya binadamu. Ili kusikia maendeleo yote hayo ya kiteknolojia ungana naye Yusra Buwayhid hadi mwisho wa kipindi.

https://p.dw.com/p/3E9h6