1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Kenya wawasaka viongozi wa MRC

8 Oktoba 2012

Nchini Kenya Mambo yanazidi kutokota ambapo viongozi wa Baraza la Jamhuri ya Mombasa MRC wanaoshinikiza eneo la Pwani lijitenge na Kenya wanadai kuandamwa na serikali kwa kukamatwa viongozi wake.

https://p.dw.com/p/16M9E
Ramani ya Kenya
Ramani ya Kenya

Kutoka Mombasa Sudi Mnette alizungumza na Katibu Mkuu  wa MRC Randu Mzai Ruwa Baraza ambapo kwanza alianza kuzungumzia jaribio la leo asubuhi la kutaka kukamatwa Msemaji wao, Mohammed Rashid Mraja.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Abdulrahman