1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Peter Limbourg aipongeza DW Kiswahili kwa kutimiza miaka 60

Amina Mjahid
3 Februari 2023

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la utangazaji la Deutsche Welle (DW) Peter Limbourg ametambua mchango wa Idhaa ya Kiswahili ya DW katika shirika hili na kuipongeza kwa kutimiza miaka 60, tangu ilipoanza kusikika. Mara ya kwanza Idhaa hii kupeperusha matangazo yake hewani ilikuwa tarehe mosi Februari,1963 na tangu wakati huo DW Kiswahili imekuwa ikivuma kwa kishindo.

https://p.dw.com/p/4N3xG