1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Peshmerga

Mada

Peshmerga ni vikosi vya jeshi la jimbo lenye utawala wake wa ndani la Kurdistan nchini Iraq. Tangu mwaka 2015, Peshmerga wamekuwa sehemu ya juhudi za kimtaifa kulishinda kundi la Dola la Kiislamu IS.