1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Francis atimiza miaka 5 uongozini

Veronica Natalis Mataba13 Machi 2018

Leo imetimia miaka mitano tangu kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis achaguliwe kushika nafasi hiyo. Uchaguzi wake unafuatia mtangulizi wake Papa mstaafu Benedikt wa 16, kujiuzulu kuwa Papa mwezi Februari mwaka 2013. Sikiliza mahojiano kati ya Veronica Natalis na askofu Method Kilaini wa jimbo la Bukoba, Tanzania.

https://p.dw.com/p/2uEDv