Oumilkheir Hamidou | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 20.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu ya DW Kiswahili

Oumilkheir Hamidou

Mfahamu Oumilkheir Hamidou, mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW

1.   Nchi ninayotokea: Visiwa vya Comoros

2.   Mwaka nilipojiunga na DW: Februari 12, 1979

3.   Nilivyojiunga na DW: Hadithi ndefu ya kusisimua

4.   Kwanini niliamua kuwa mwandishi wa habari: Bahati yangu

5.   Vigezo mtu anavyotakiwa kuwa navyo kuwa mwandishi wa habari: uwe mkweli na utangaze cha kweli

6.   Changamoto ninazokutana nazo kwenye maisha yangu ya kazi: Nyingi tu na hasa kama ni mwanamke

7.   Tukio la kihistoria ambalo sitalisahau: Nilipokamatwa kwa muda na mamluki wa kifaransa Bob Denard

8.   Mtu ambaye ningependa kumhoji: Yeyote yule mwenye la kusema

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com