1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Oprah Winfrey

Oprah Winfrey ni muasisi wa chombo cha habari wa Marekani, muongozaji wa kipindi cha Televisheni, Muigizaji, Mtengenezaji na Mhisani. Anafahamika zaidi kwa kipindi chake cha 'Oprah Winfrey Show".

Akitajwa kuwa Malkia wa vyombo vyote vya habari, Oprah Winfrey ndiyo mwanamke Mmarekani tajiri zaidi mwenye asili ya Afrika, na bilionea wa kwanza mweusi katika kanda ya Amerika ya Kaskazini, na ametajwa kuwa mhisani mkubwa zaidi mweusi katika historia ya Marekani. Tathmini kadhaa zinamuonrodhesha kama mwanamke mwenye ushawishi mkubwa zaidi duniani.