Ongezeko la visa vya ubakaji kwa watoto Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 21.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ongezeko la visa vya ubakaji kwa watoto Tanzania

Visa vya ulawiti na ubakaji kwa watoto nchini Tanzania vinatajwa kuongozeka huku watu wanaoshutumiwa kuwa ni watu wa karibu na watoto hao na wanaotegemewa kuwa kama walinzi kwao. Zaidi sikiliza ripoti ya Hawa Bihoga akiwa Dar es Salaam.

Sikiliza sauti 02:33