1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Octopizzo ni kioo cha jamii Kibera

14 Agosti 2018

Kama vijana wengi katika mtaa wa mabanda wa Kibera jijini Nairobi, Henry Ohanga au Octopizzo kama anavyofahamika na wengi alikuwa akiamini kwamba hawezi kufanikiwa maishani. Lakini sasa ni mmoja wa waimbaji mahiri wa mtindo wa Rap afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/33A31