Nyama iliyokatwa kwenye gogo au Msumeno? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Nyama iliyokatwa kwenye gogo au Msumeno?

Wauzaji nyama nchini Tanzania wanajitayarisha na utekelezeaji wa kanuni mpya zinazowataka kuachana na matumizi ya magogo kukatia nyama. Muongozo uliotolewa na Bodi ya Nyama nchini humo umesema matumimzi ya magogo yanatishia afya za walaji na kuwataka wamiliki wote wa maeneo ya kuuzia kitoweo hicho kutafuta mashine za umeme zinazotumia misumeno. Wamejiandaaje? Tizama video hii

Tazama vidio 02:54