Njia ya pekee ni juu: Viwanja vya ndege duniani kwa picha | Mada zote | DW | 19.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Njia ya pekee ni juu: Viwanja vya ndege duniani kwa picha

Kadri watu wanavyozidi kusafiri kwa ndege, viwanja vya ndege navyo lazima vipanuliwe. Katika miaka miwili ijayo China itakuwa na uwanja mkubwa wa ndege duniani ila wengine nao wana mikakati hiyo.