1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Niger

Niger ni taifa linalozungukwa na nchi kavu katika kanda ya Afrika ya Magharibi, lililopata jina lake kutokana na Mto Niger.

Niger inapakana na mataifa saba na ina urefu wa kilomita 5,697. Ni nchi inayoendelea na huwa katika nafasi za mwisho za faharasi ya maendeleo ya Umoja wa Mataifa, ikishika nafasi ya 188 mwaka 2014. Tangu kupata uhuru wake mwaka 1958, Waniger wametawaliwa na katiba tano na vipindi vitatu vya utawala wa kijeshi. Kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2010, Niger imekuwa taifa la demokrasia ya vyama vingi. Raia wake wengi wanaishi vijijini na hawana fursa za kutosha za kupata elimu.

Onesha makala zaidi