Ni yepi malengo ya majaribio ya makombora ya Korea Kaskazini | Matukio ya Kisiasa | DW | 19.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Ni yepi malengo ya majaribio ya makombora ya Korea Kaskazini

Daniel Gakuba anazungumza na mchambuzi wa kimataifa Ahmed Rajab kuhusu malengo ya Korea Kaskazini katika kufanya jaribio la kombora la masafa marefu na tafsiri yake katika siasa za usalama za kikanda. Ahmed Rajab anadhani azma ya uongozi wa mjini Pyongyang ni kushinikiza mazungumzo kwa masharti yake.

Sikiliza sauti 03:05